The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 5 › Mhubiri 5:6

Mhubiri 5:6

Usiruhusu kinywa chako kukuingiza dhambini. Tena usijitetee mbele ya huyo mjumbe wa hekaluni, ukisema, “Niliweka nadhiri kwa makosa.” Kwa nini Mungu akasirike kwa ajili ya yale unayosema na kuiharibu kazi ya mikono yako?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Suffer not thy mouth to cause thy flesh to sin; neither say thou before the angel, that it was an error: wherefore should God be angry at thy voice, and destroy the work of thine hands?

In Context

5Ni afadhali usiweke nadhiri kuliko kuiweka na usiitimize.

7Kuota ndoto kwingi na maneno mengi ni ubatili. Kwa hiyo simama katika kicho cha Mungu. 1 Utajiri Ni Ubatili

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Genesis 48:16Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”

Leviticus 27:9“ ‘Kama kile mtu alichokiwekea nadhiri ni mnyama anayekubalika kama sadaka kwa Bwana, mnyama wa namna hiyo aliyetolewa kwa Bwana anakuwa mtakatifu.

Proverbs 23:17Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, 2 bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana. 1

Ecclesiastes 5:1Linda hatua zako uendapo katika nyumba ya Mungu. Karibia usikilize kuliko kutoa dhabihu ya wapumbavu, ambao hawajui kuwa wanafanya kosa. 1

Hosea 12:4Alishindana na malaika na kumshinda; 2 alilia na kuomba upendeleo wake. 1 Alimkuta huko Betheli 2 na kuzungumza naye huko: 1

Haggai 2:14Kisha Hagai akasema, “ ‘Basi ndivyo walivyo machoni pangu hawa watu na taifa hili,’ asema Bwana. ‘Lolote wafanyalo na chochote watoacho hapo ni najisi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:5Mhubiri 5Mhubiri 5:7 →