The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 23 › Proverbs 23:17

Proverbs 23:17

Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, 2 bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Bwana. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Let not thine heart envy sinners: but be thou in the fear of the LORD all the day long.

In Context

16utu wangu wa ndani utafurahi, 2 wakati midomo yako 2 itakapozungumza lililo sawa. 1

18Hakika kuna tumaini la baadaye kwa ajili yako, 2 nalo tarajio lako halitakatiliwa mbali. 1

Read all of Proverbs 23

Cross References

Psalms 73:3Kwa maana niliwaonea wivu wenye kujivuna 2 nilipoona kufanikiwa kwa waovu. 1

Proverbs 3:31Usimwonee wivu mtu mwenye jeuri 2 wala kuchagua njia yake iwayo yote, 1

Proverbs 24:1Usiwaonee wivu watu waovu, 2 usitamani ushirika nao; 1

Proverbs 24:21Mwanangu, mche Bwana na mfalme, 2 wala usijiunge na waasi, 1

Ecclesiastes 5:6Usiruhusu kinywa chako kukuingiza dhambini. Tena usijitetee mbele ya huyo mjumbe wa hekaluni, ukisema, “Niliweka nadhiri kwa makosa.” Kwa nini Mungu akasirike kwa ajili ya yale unayosema na kuiharibu kazi ya mikono yako?

Ecclesiastes 12:13Hii ndiyo jumla ya maneno; 2 yote yamekwisha sikiwa: 1 Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, 2 maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 23:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 23:16Proverbs 23Proverbs 23:18 →