The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 5 › Mhubiri 5:7

Mhubiri 5:7

Kuota ndoto kwingi na maneno mengi ni ubatili. Kwa hiyo simama katika kicho cha Mungu. 1 Utajiri Ni Ubatili

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For in the multitude of dreams and many words there are also divers vanities: but fear thou God.

In Context

6Usiruhusu kinywa chako kukuingiza dhambini. Tena usijitetee mbele ya huyo mjumbe wa hekaluni, ukisema, “Niliweka nadhiri kwa makosa.” Kwa nini Mungu akasirike kwa ajili ya yale unayosema na kuiharibu kazi ya mikono yako?

8Kama ukiona maskini wanaonewa katika nchi, hukumu na haki vikipotoshwa, usishangazwe na mambo hayo, kwa maana afisa mmoja anaangaliwa na aliye juu yake zaidi na juu ya hao wawili kuna wengine walio juu zaidi yao.

Read all of Mhubiri 5

Cross References

Ecclesiastes 3:14Ninajua kwamba kila kitu anachokifanya Mungu kitadumu milele, hakuna kinachoweza kuongezwa au kupunguzwa. Mungu hufanya hivyo ili watu wamche yeye. 1

Ecclesiastes 5:3Kama vile ndoto huja 2 wakati kuna shughuli nyingi, 1 ndivyo yalivyo mazungumzo ya mpumbavu 2 wakati kuna maneno mengi.

Ecclesiastes 8:9Yote haya niliyaona, nilipokuwa natafakari kila kitu kinachotendeka chini ya jua. Kuna wakati ambapo mtu hujifanya bwana juu ya wengine kwa madhara yake mwenyewe.

Ecclesiastes 12:13Hii ndiyo jumla ya maneno; 2 yote yamekwisha sikiwa: 1 Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, 2 maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu. 1

Matthew 12:36Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 5:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 5:6Mhubiri 5Mhubiri 5:8 →