Mhubiri 5:9
Mafanikio ya nchi ni kwa ajili ya wote, hata mfalme mwenyewe hufaidi kutoka mashambani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Moreover the profit of the earth is for all: the king himself is served by the field.
In Context
Cross References
Genesis 3:17Kwa Adamu akasema, “Kwa sababu umemsikiliza mke wako na ukala kutoka kwenye mti niliokuamuru, ‘Msile tunda lake,’ 1 “Ardhi imelaaniwa kwa sababu yako, 2 kwa kazi ngumu utakula chakula kitokacho humo 2 siku zote za maisha yako. 1
1 Kings 4:7Pia Solomoni alikuwa na watawala kumi na wawili wa wilaya katika Israeli yote, walioleta mahitaji kwa mfalme na kwa watu wa nyumbani kwa mfalme. Kila mmoja alitoa chakula kwa mwezi mmoja katika mwaka.
Psalms 104:14Huyafanya majani ya mifugo yaote, 2 na mimea kwa watu kulima, 2 wajipatie chakula kutoka ardhini: 1
Proverbs 13:23Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, 2 bali dhuluma hukifutilia mbali. 1
Proverbs 28:19Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha. 1
Ecclesiastes 6:7Juhudi zote za binadamu ni kwa ajili ya kinywa chake, 2 hata hivyo hamu yake kamwe haitoshelezwi. 1