Proverbs 28:19
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 12:11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 1
Proverbs 14:4Pale ambapo hakuna mafahali, hori ni tupu, 2 bali kutokana na nguvu za fahali huja mavuno mengi. 1
Proverbs 24:34hivyo umaskini utakuja juu yako kama mnyangʼanyi, 2 na kupungukiwa kutakujia kama mtu mwenye silaha.
Luke 15:12Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake.