Proverbs 13:23
Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, 2 bali dhuluma hukifutilia mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Much food is in the tillage of the poor: but there is that is destroyed for want of judgment.
In Context
24Yeye aizuiaye fimbo yake hampendi mwanawe, 2 bali yeye ampendaye 2 huwa mwangalifu kumwadibisha. 1
Cross References
Proverbs 6:6Ewe mvivu, mwendee mchwa; 2 zitafakari njia zake ukapate hekima! 1
Proverbs 12:11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 1
Proverbs 27:18Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, 2 naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. 1
Proverbs 28:19Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, 2 bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha. 1
Ecclesiastes 8:5Yeyote anayetii agizo lake hatadhurika, 2 moyo wa hekima utajua wakati muafaka 2 na jinsi ya kutenda. 1