The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 6 › Mhubiri 6:11

Mhubiri 6:11

Maneno yanavyokuwa mengi, 2 ndivyo yanavyokosa maana, 2 Je, hilo linamfaidia vipi yeyote?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Seeing there be many things that increase vanity, what is man the better?

In Context

10Lolote lililopo limekwisha kupewa jina, 2 naye mwanadamu alivyo ameshajulikana; 1 hakuna mtu awezaye kushindana 2 na mwenye nguvu kuliko yeye. 1

12Kwa maana ni nani anayejua lililo jema kwa ajili ya maisha ya mwanadamu, katika siku chache na za ubatili anazopita kama kivuli? Ni nani awezaye kumwambia yatakayotokea chini ya jua baada ya yeye kuondoka?

Read all of Mhubiri 6

Cross References

Ecclesiastes 1:6Upepo huvuma kuelekea kusini 2 na kugeukia kaskazini, 1 hurudia mzunguko huo huo, 2 daima ukirudia njia yake. 1

Ecclesiastes 2:3Nikajaribu kujifurahisha kwa mvinyo na kukumbatia upumbavu, huku bado akili yangu inaniongoza kwa hekima. Nilitaka kuona ni lipi bora watu wafanye kwa siku chache wanazoishi chini ya mbingu.

Ecclesiastes 4:1Nikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: 1 Nikaona machozi ya walioonewa, 2 wala hawana wa kuwafariji; 1 uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea, 2 wala hawana wa kuwafariji. 1

Ecclesiastes 4:16Hapakuwa na kikomo cha watu wote aliowatawala. Lakini wale waliokuja baadaye hawakufurahia kazi ya yule aliyepokea ufalme. Hili nalo pia ni ubatili, ni kukimbiza upepo.

Hosea 12:1Efraimu anajilisha upepo; 2 hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima 2 na kuzidisha uongo na jeuri. 1 Anafanya mkataba na Ashuru 2 na kutuma mafuta ya zeituni Misri. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 6:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 6:10Mhubiri 6Mhubiri 6:12 →