Hosea 12:1
Efraimu anajilisha upepo; 2 hufukuzia upepo wa mashariki kutwa nzima 2 na kuzidisha uongo na jeuri. 1 Anafanya mkataba na Ashuru 2 na kutuma mafuta ya zeituni Misri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 15:19Kisha Pulu mfalme wa Ashuru akaishambulia Israeli. Menahemu mfalme wa Israeli akampa talanta elfu moja za fedha + 15:19 Talanta 1,000 za fedha ni sawa na tani 34. ili amsaidie na kumwezesha katika utawala wake.
2 Chronicles 21:11Alikuwa pia ametengeneza mahali pa juu pa kuabudia miungu katika vilima vya Yuda na akawa amewasababisha watu wa Yerusalemu kufanya uzinzi na akawa amewapotosha watu wa Yuda.
Psalms 78:36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, 2 wakisema uongo kwa ndimi zao, 1
Jeremiah 22:22Upepo utawaondoa wachungaji wako wote, 2 na wale ulioungana nao wataenda uhamishoni. 1 Kisha utaaibika na kufedheheka 2 kwa sababu ya uovu wako wote. 1
Hosea 4:15“Ingawa umefanya uzinzi, ee Israeli, 2 Yuda naye asije akawa na hatia. 1 “Usiende Gilgali, 2 usipande kwenda Beth-Aveni + 4:15 Beth-Aveni maana yake Nyumba ya Ubatili (au Uovu), jina lingine la Betheli kwa dhihaka. 1 Wala usiape, 2 ‘Hakika kama Bwana aishivyo!’ 1
Hosea 7:1kila mara nilipotaka kumponya Israeli, 2 dhambi za Efraimu zinafichuliwa 2 na maovu ya Samaria yanafunuliwa. 1 Wanafanya udanganyifu, 2 wevi huvunja nyumba, 2 maharamia hunyangʼanya barabarani, 1