The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 7 › Mhubiri 7:12

Mhubiri 7:12

Hekima ni ulinzi kama fedha ilivyo ulinzi, 2 lakini faida ya maarifa ni hii: 2 kwamba hekima huhifadhi maisha ya aliye nayo.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For wisdom is a defence, and money is a defence: but the excellency of knowledge is, that wisdom giveth life to them that have it.

In Context

11Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema 2 na huwafaidia wale walionalo jua. 1

13Tafakari kile Mungu alichokitenda: 1 Nani awezaye kunyoosha 2 kile ambacho yeye amekipinda? 1

Read all of Mhubiri 7

Cross References

Deuteronomy 32:47Siyo maneno matupu tu kwenu, bali ni uzima wenu. Kwa hayo mtaishi maisha marefu katika nchi mnayovuka Yordani kuimiliki.” 1 Mose Aelezwa Kuhusu Kifo Chake

Job 1:10Je, wewe hukumjengea boma pande zote yeye na wa nyumbani mwake pamoja na kila kitu alicho nacho? Kazi za mikono yake umezibariki na hivyo makundi yake ya kondoo na mbuzi pamoja na ya wanyama yameenea katika nchi nzima.

Psalms 57:1Unihurumie, Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa maana nafsi yangu inakukimbilia. 1 Chini ya uvuli wa mbawa zako nitakimbilia 2 mpaka maafa yapite. 1

Proverbs 2:11Busara itakuhifadhi 2 na ufahamu utakulinda. 1

Proverbs 8:35Kwa maana yeyote anipataye mimi amepata uzima 2 na kujipatia kibali kutoka kwa Bwana. 1

Proverbs 11:4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 7:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 7:11Mhubiri 7Mhubiri 7:13 →