The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 9 › Mhubiri 9:11

Mhubiri 9:11

Nimeona kitu kingine tena chini ya jua: 1 Si wenye mbio washindao mashindano 2 au wenye nguvu washindao vita, 1 wala si wenye hekima wapatao chakula 2 au wenye akili nyingi wapatao mali, 1 wala wenye elimu wapatao upendeleo, 2 lakini fursa huwapata wote.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I returned, and saw under the sun, that the race is not to the swift, nor the battle to the strong, neither yet bread to the wise, nor yet riches to men of understanding, nor yet favour to men of skill; but time and chance happeneth to them all.

In Context

10Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.

12Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja: 1 Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili, 2 au ndege wanaswavyo kwenye mtego, 1 vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya 2 zinazowaangukia bila kutazamia. 1 Hekima Ni Bora Kuliko Upumbavu

Read all of Mhubiri 9

Cross References

1 Samuel 2:3“Msiendelee kusema kwa kiburi hivyo 2 wala msiache vinywa vyenu kunena kwa kiburi, 1 kwa kuwa Bwana ndiye Mungu ajuaye, 2 na kwa yeye matendo hupimwa. 1

2 Samuel 2:18Wana watatu wa Seruya walikuwako huko: nao ni Yoabu, Abishai na Asaheli. Basi huyo Asaheli alikuwa na mbio kama paa.

2 Samuel 17:23Ahithofeli alipoona kwamba shauri lake halikufuatwa, akatandika punda wake, akaondoka kwenda nyumbani kwake kwenye mji wake. Akaiweka nyumba yake katika utaratibu, kisha akajinyonga mwenyewe. Hivyo akafa na akazikwa katika kaburi la baba yake.

Job 5:11Huwainua juu wanyonge, 2 nao wale waombolezao huinuliwa wakawa salama. 1

Psalms 33:16Hakuna mfalme aokokaye kwa ukubwa wa jeshi lake; 2 hakuna shujaa aokokaye kwa wingi wa nguvu zake. 1

Psalms 147:10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, 2 wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 9:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 9:10Mhubiri 9Mhubiri 9:12 →