The Bible Software
bible.software › Mhubiri › Mhubiri 9 › Mhubiri 9:17

Mhubiri 9:17

Maneno ya utulivu ya mwenye hekima 2 husikiwa kuliko makelele ya mtawala wa wapumbavu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The words of wise men are heard in quiet more than the cry of him that ruleth among fools.

In Context

16Kwa hiyo, nikasema, “Hekima ni bora kuliko nguvu.” Lakini hekima ya maskini imedharauliwa, wala hakuna anayesikiliza maneno yake. 1

18Hekima ni bora kuliko silaha za vita, 2 lakini mwenye dhambi mmoja 2 huharibu mema mengi.

Read all of Mhubiri 9

Cross References

1 Samuel 7:3Naye Samweli akawaambia nyumba yote ya Israeli, “Ikiwa mtamrudia Bwana kwa mioyo yenu yote, basi iacheni miungu migeni na Maashtorethi na kujitoa wenyewe kwa Bwana na kumtumikia yeye peke yake, naye atawaokoa ninyi na mkono wa Wafilisti.”

Isaiah 42:2Hatapaza sauti wala kupiga kelele, 2 wala hataiinua sauti yake barabarani. 1

Acts 19:41Baada ya kusema haya akavunja mkutano.

James 3:17Lakini hekima itokayo mbinguni kwanza ni safi, kisha inapenda amani, tena ni ya upole, iliyo tayari kusikiliza wengine kwa unyenyekevu, iliyojaa huruma na matunda mema, isiyopendelea mtu, tena isiyokuwa na unafiki.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Mhubiri 9:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Mhubiri 9:16Mhubiri 9Mhubiri 9:18 →