Mhubiri 9:18
Hekima ni bora kuliko silaha za vita, 2 lakini mwenye dhambi mmoja 2 huharibu mema mengi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wisdom is better than weapons of war: but one sinner destroyeth much good.
In Context
17Maneno ya utulivu ya mwenye hekima 2 husikiwa kuliko makelele ya mtawala wa wapumbavu. 1
Cross References
Joshua 7:5ambao waliwaua watu kama thelathini na sita miongoni mwao. Wakawafukuza Waisraeli kutoka lango la mji hadi Shebarimu, nao wakawauwa huko kwenye materemko. Kutokana na hili mioyo ya watu ikayeyuka ikawa kama maji.
Joshua 22:20Wakati Akani mwana wa Zera alipokosa uaminifu kwa vitu vilivyowekwa wakfu, je, ghadhabu haikulipata kusanyiko lote la Israeli? Hakuwa yeye peke yake aliyekufa kwa ajili ya dhambi yake.’ ”
1 Samuel 14:30Ingekuwa bora zaidi mara ngapi kama watu wangalikula leo baadhi ya nyara walizoteka kutoka kwa adui zao. Je, mauaji ya Wafilisti yasingekuwa makubwa zaidi?”
2 Samuel 20:1Basi, kulikuwa na mtu mbaya sana aliyeitwa Sheba mwana wa Bikri, Mbenyamini, aliyekuwako huko. Akapiga tarumbeta na kupaza sauti, 1 “Hatuna fungu katika Daudi, 2 wala hatuna sehemu 2 katika mwana wa Yese! 1 Kila mtu aende hemani mwake, 2 enyi Israeli!”
Ecclesiastes 7:19Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi 2 kuliko watawala kumi katika mji. 1
Ecclesiastes 10:1Kama vile nzi waliokufa huacha harufu mbaya kwenye manukato, 2 ndivyo upumbavu kidogo huzidi nguvu hekima na heshima. 1