bible.software › Mhubiri › Mhubiri 9 › Mhubiri 9:4
Mhubiri 9:4
Yeyote aliye miongoni mwa walio hai analo tumaini, hata mbwa hai ni bora kuliko simba aliyekufa! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For to him that is joined to all the living there is hope: for a living dog is better than a dead lion.
In Context
3Huu ni ubaya ulio katika kila kitu kinachotendeka chini ya jua: Mwisho unaofanana huwapata wote. Zaidi ya hayo, mioyo ya watu, imejaa ubaya na kuna wazimu mioyoni mwao wangali hai, hatimaye huungana na waliokufa.
5Kwa maana walio hai wanajua kwamba watakufa, 2 lakini wafu hawajui chochote, 1 hawana tuzo zaidi, 2 hata kumbukumbu yao imesahaulika. 1
Read all of Mhubiri 9
Cross References
Job 27:8Kwa maana mtu asiyemcha Mungu 2 analo tegemeo gani anapokatiliwa mbali, 2 Mungu anapouondoa uhai wake? 1
Lamentations 3:21Hata hivyo najikumbusha neno hili 2 na kwa hiyo ninalo tumaini. 1
This Verse In Other Editions
Study Mhubiri 9:4