Waefeso 6:15
na hamu ya kutangaza Habari Njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And your feet shod with the preparation of the gospel of peace;
In Context
Cross References
Luke 15:22Lakini baba yake akawaambia watumishi wake: Haraka! Leteni nguo nzuri mkamvike! Mvisheni pete na viatu!
2 Corinthians 5:18Yote ni kazi ya Mungu mwenye kutupatanisha sisi naye kwa njia ya Kristo, akatupa nasi jukumu la kuwapatanisha watu naye.