Esther 5:13
Lakini haya yote hayanipi kuridhika iwapo ninaendelea kumwona yule Myahudi Mordekai akiketi kwenye lango la mfalme.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yet all this availeth me nothing, so long as I see Mordecai the Jew sitting at the king’s gate.
In Context
Cross References
1 Kings 21:4Basi Ahabu akaenda nyumbani, mwenye huzuni na hasira kwa sababu ya yale ambayo Nabothi, Myezreeli, alikuwa amesema, “Sitakupa urithi wa baba zangu.” Akajinyoosha juu ya kitanda akisononeka, na akakataa kula.
Job 15:20Mtu mwovu siku zake zote hupata mateso, 2 miaka yote aliwekewa mkorofi. 1
Psalms 37:12Waovu hula njama dhidi ya wenye haki 2 na kuwasagia meno, 1
Ecclesiastes 1:14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 1