Esta 5:9
Hamani alitoka siku hiyo kwa furaha na moyo mchangamfu. Lakini alipomwona Mordekai langoni mwa mfalme na kuona kwamba hakusimama wala hakuonyesha hofu mbele yake, alijawa na ghadhabu dhidi ya Mordekai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Hata hivyo, Hamani alijizuia akaenda zake nyumbani. Akawaita pamoja rafiki zake na Zereshi, mkewe.
Cross References
1 Kings 21:4Basi Ahabu akaenda nyumbani, mwenye huzuni na hasira kwa sababu ya yale ambayo Nabothi, Myezreeli, alikuwa amesema, “Sitakupa urithi wa baba zangu.” Akajinyoosha juu ya kitanda akisononeka, na akakataa kula.
Esther 2:19Wakati mabikira walikusanyika mara ya pili, Mordekai alikuwa ameketi katika lango la mfalme.
Esther 3:5Wakati Hamani alipoona kuwa Mordekai hampigii magoti wala kumpa heshima alighadhibika.
Job 31:31kama watu wa nyumbani mwangu kamwe hawakusema, 2 ‘Ni nani ambaye hajashibishwa na nyama ya Ayubu?’ 1
Psalms 27:3Hata jeshi linizunguke pande zote, 2 moyo wangu hautaogopa; 1 hata vita vitokee dhidi yangu, 2 hata hapo nitakuwa na ujasiri. 1
Daniel 3:16Shadraki, Meshaki na Abednego wakamjibu mfalme, “Ee Nebukadneza, hatuhitaji kujitetea mbele zako kuhusu jambo hili.