Kutoka 14:25
Mungu akayaondoa magurudumu ya magari yao, kwa hivyo wakayaendesha kwa shida. Nao Wamisri wakasema, “Tuachane na Waisraeli! Bwana anawapigania dhidi ya Misri.” 1 Wafuatiaji Wazama
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:3Bwana ni shujaa wa vita; 2 Bwana ndilo jina lake. 1
Deuteronomy 3:22Msiwaogope, Bwana Mungu wenu atapigana kwa ajili yenu.”
Judges 4:15Bwana akamfadhaisha Sisera na magari yake yote, pamoja na jeshi lake lote kwa upanga mbele ya Baraka, naye Sisera akaliacha gari lake na kukimbia kwa miguu.
2 Chronicles 20:29Hofu ya Mungu ikazipata falme zote za nchi waliposikia jinsi Bwana alivyokuwa amepigana dhidi ya adui za Israeli.
Nehemiah 9:11Ukagawa bahari mbele yao, ili waweze kupita katikati yake penye nchi kavu, lakini uliwatupa Wamisri waliowafuatilia katika vilindi, kama jiwe kwenye maji mengi.
Job 20:24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma, 2 mshale wa shaba utamchoma. 1