The Bible Software
bible.softwareKutokaKutoka 20 › Kutoka 20:17

Kutoka 20:17

Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.” 1 Watu Wanaogopa (Kumbukumbu 5:22-33)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt not covet thy neighbour’s house, thou shalt not covet thy neighbour’s wife, nor his manservant, nor his maidservant, nor his ox, nor his ass, nor any thing that is thy neighbour’s.

In Context

16Usimshuhudie jirani yako uongo. 1

18Watu walipoona ngurumo na radi, na kusikia mlio wa tarumbeta, na kuuona mlima katika moshi, walitetemeka kwa woga. Wakasimama mbali

Read all of Kutoka 20

Cross References

Genesis 3:6Mwanamke alipoona ya kuwa tunda la mti huo lilikuwa zuri kwa chakula na la kupendeza macho, tena linatamanika kwa kujipatia hekima, basi akachuma katika matunda yake, akala, pia akampa mumewe, aliyekuwa pamoja naye, naye akala.

Genesis 34:23Je, si mifugo yao, mali zao na wanyama wao wengine wote watakuwa wetu? Basi na tuwape kibali, nao wataishi miongoni mwetu.”

1 Samuel 15:19Kwa nini hukumtii Bwana? Kwa nini ulivamia nyara na kufanya uovu machoni pa Bwana?”

Job 31:1“Nimefanya agano na macho yangu 2 yasimtazame msichana kwa kumtamani. 1

Psalms 10:3Hujivunia tamaa za moyo wake; 2 humbariki mlafi na kumtukana Bwana. 1

Proverbs 4:23Zaidi ya yote, linda moyo wako, kuliko yote uyalindayo, 2 maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Kutoka 20:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Kutoka 20:16Kutoka 20Kutoka 20:18 →