Exodus 21:20
“Kama mtu akimpiga mtumwa wake wa kiume au wa kike kwa fimbo na mtumwa huyo akafa papo hapo, ni lazima aadhibiwe
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 4:24Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, 2 basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”
Exodus 21:26“Ikiwa mtu atampiga mtumwa mwanaume au mwanamke kwenye jicho na kuliharibu, ni lazima amwache huru yule mtumwa kama fidia ya hilo jicho.
Numbers 35:30“ ‘Yeyote anayeua mtu atauawa kama muuaji ikiwa tu kuna ushuhuda wa mashahidi. Lakini hakuna mtu atakayeuawa kwa ushuhuda wa shahidi mmoja tu.
Proverbs 29:19Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, 2 ajapoelewa, hataitikia. 1
Romans 13:4Kwa maana mwenye mamlaka ni mtumishi wa Mungu kwa ajili ya mema. Lakini kama ukitenda mabaya, basi ogopa, kwa kuwa hauinui upanga bila sababu. Yeye ni mtumishi wa Mungu, mjumbe wa Mungu wa kutekeleza adhabu juu ya watenda mabaya.