Proverbs 29:19
Mtumishi hawezi kuonywa kwa maneno matupu, 2 ajapoelewa, hataitikia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
A servant will not be corrected by words: for though he understand he will not answer.
In Context
18Mahali pasipo na ufunuo, watu kujizuia, 2 bali ana heri mtu yule aishikaye sheria. 1
20Je, unamwona mtu azungumzaye kwa haraka? 2 Kuna matumaini zaidi kwa mpumbavu kuliko yeye. 1
Cross References
Job 19:16Namwita mtumishi wangu, wala haitiki, 2 ingawa namwomba kwa kinywa changu mwenyewe. 1
Proverbs 30:22Mtumwa awapo mfalme, 2 mpumbavu ashibapo chakula, 1