Ayubu 35:9
“Wanadamu hulia kwa kulemewa na mateso; 2 huomba msaada kutoka mkono wenye nguvu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Uovu wako unamdhuru tu mtu mwingine kama wewe, 2 nayo haki yako inawafaa wanadamu tu. 1
10Lakini hakuna asemaye, ‘Yuko wapi Mungu Muumba wangu, 2 yeye anifanyaye niimbe usiku, 1
Cross References
Exodus 3:7Bwana akamwambia, “Hakika nimeona mateso ya watu wangu katika Misri. Nimesikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao, nami naguswa na mateso yao.
Nehemiah 5:1Wakati huu wanaume na wake zao wakalia kilio kikuu dhidi ya ndugu zao Wayahudi.
Job 24:12Kilio cha huzuni cha wanaokufa kinapaa kutoka mjini, 2 nazo nafsi za waliojeruhiwa zinalilia msaada. 1 Lakini Mungu hamlaumu mtu yeyote 2 kwa kutenda mabaya. 1
Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1
Psalms 12:5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge 2 na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, 1 nitainuka sasa,” asema Bwana. 2 “Nitawalinda kutokana na wale 2 wenye nia mbaya juu yao.” 1
Psalms 55:2Nisikie na unijibu. 1 Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa 1