Ayubu 31:38
“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, 2 na mifereji yake yote imelowana kwa machozi, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If my land cry against me, or that the furrows likewise thereof complain;
In Context
37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, 2 ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 1
39kama nimekula mazao yake bila malipo, 2 au kuvunja mioyo ya wapangaji wake, 1
Cross References
Psalms 65:13Penye nyanda za malisho pamejaa makundi ya wanyama, 2 na mabonde yamepambwa kwa mavuno; 2 vyote vinashangilia kwa furaha na kuimba.
James 5:4Angalieni! Ule ujira wa vibarua waliolima mashamba yenu mliouzuia kwa hila unapiga kelele dhidi yenu na vilio vya wavunaji vimefika masikioni mwa Bwana Mwenye Nguvu Zote.