The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 13 › Ezekieli 13:5

Ezekieli 13:5

Hamjakwea kwenda kuziba mahali palipobomoka katika ukuta ili kuukarabati kwa ajili ya nyumba ya Israeli, ili kwamba isimame imara kwenye vita katika siku ya Bwana.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Ye have not gone up into the gaps, neither made up the hedge for the house of Israel to stand in the battle in the day of the LORD.

In Context

4Manabii wako, ee Israeli, ni kama mbweha katikati ya magofu.

6Maono yao ni ya uongo na ubashiri wao ni wa udanganyifu. Wao husema, “ Bwana amesema,” wakati Bwana hakuwatuma, bado wakitarajia maneno yao kutimizwa.

Read all of Ezekieli 13

Cross References

Exodus 32:11Lakini Mose akamsihi Bwana Mungu wake, akasema, “Ee Bwana, kwa nini hasira yako iwake dhidi ya watu wako, wale uliowatoa Misri kwa uweza mkuu na mkono wenye nguvu?

Numbers 16:47Hivyo Aroni akafanya kama Mose alivyosema, akakimbilia katikati ya kusanyiko. Tauni ilikuwa tayari imeanza miongoni mwa watu, lakini Aroni akafukiza uvumba na kufanya upatanisho kwa ajili yao.

Job 40:9Je, una mkono kama wa Mungu, 2 nawe waweza kutoa sauti ya ngurumo kama yake? 1

Psalms 106:23Kwa hiyo alisema kwamba angewaangamiza: 2 kama Mose mteule wake, 1 asingesimama kati yao na Mungu 2 kuizuia ghadhabu yake kuwaangamiza. 1

Isaiah 13:6Ombolezeni, kwa maana siku ya Bwana i karibu, 2 itakuja kama uharibifu kutoka kwa Mwenyezi. + 13:6 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. 1

Isaiah 27:4Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 13:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 13:4Ezekieli 13Ezekieli 13:6 →