Isaiah 27:4
Mimi sijakasirika. 2 Licha pangekuwepo michongoma na miiba kunikabili! 2 Ningepambana dhidi yake katika vita, 2 ningeliichoma moto yote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Samuel 23:6Lakini watu waovu wote 2 watatupwa kando kama miiba, 2 ambayo haikusanywi kwa mkono. 1
Psalms 85:3Uliweka kando ghadhabu yako yote 2 na umegeuka na kuiacha hasira yako kali. 1
Isaiah 9:18Hakika uovu huwaka kama moto; 2 huteketeza michongoma na miiba, 1 huwasha moto vichaka vya msituni, 2 hujiviringisha kuelekea juu kama nguzo ya moshi. 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1
Isaiah 54:6Bwana atakuita urudi 2 kana kwamba ulikuwa mke aliyeachwa na kuhuzunishwa rohoni; 1 kama mke aliyeolewa bado angali kijana 2 na kukataliwa,” asema Mungu wako. 1
Ezekiel 16:63Basi, nitakapofanya upatanisho kwa ajili yako, kwa yale yote uliyoyatenda, utakumbuka na kuaibika, nawe kamwe hutafumbua tena kinywa chako kwa sababu ya aibu yako, asema Bwana Mwenyezi.’ ”