Ezekieli 13:7
Je, hamjaona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu hapo msemapo, “ Bwana asema,” lakini Mimi sijasema?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ezekiel 13:2“Mwanadamu, tabiri dhidi ya manabii wa Israeli wanaotabiri sasa. Waambie hao ambao hutabiri kutokana na mawazo yao wenyewe: ‘Sikia neno la Bwana!
Zechariah 10:2Sanamu huzungumza udanganyifu, 2 waaguzi huona maono ya uongo; 1 husimulia ndoto ambazo si za kweli, 2 wanatoa faraja batili. 1 Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo 2 walioonewa kwa kukosa mchungaji. 1