Zekaria 10:2
Sanamu huzungumza udanganyifu, 2 waaguzi huona maono ya uongo; 1 husimulia ndoto ambazo si za kweli, 2 wanatoa faraja batili. 1 Kwa hiyo watu wanatangatanga kama kondoo 2 walioonewa kwa kukosa mchungaji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 31:19Labani alipokuwa amekwenda kukata kondoo wake manyoya, Raheli aliiba miungu ya nyumba ya baba yake.
Deuteronomy 13:2ikiwa ishara au ajabu ya aliyozungumza ikatokea, naye akasema, “Na tufuate miungu mingine” (miungu ambayo hamjaifahamu) “na tuiabudu,”
1 Kings 22:17Ndipo Mikaya akajibu, “Niliona Israeli wote wametawanyika vilimani kama kondoo wasio na mchungaji, naye Bwana akasema, ‘Watu hawa hawana bwana. Mwache kila mmoja aende nyumbani kwa amani.’ ”
Job 21:34“Hivyo ninyi mnawezaje kunifariji kwa upuzi wenu? 2 Hakuna kilichosalia cha majibu yenu isipokuwa uongo!”
Isaiah 44:9Wote wachongao sanamu ni ubatili, 2 navyo vitu wanavyovithamini havifai kitu. 1 Wale ambao wanazitetea ni vipofu, 2 ni wajinga, nao waaibika. 1
Isaiah 46:5“Mtanilinganisha na nani, au mtanihesabu kuwa sawa na nani? 2 Ni nani mtakayenifananisha naye ili tuweze kulinganishwa? 1