The Bible Software
bible.software › Ezekieli › Ezekieli 13 › Ezekieli 13:8

Ezekieli 13:8

“ ‘Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Kwa sababu ya uongo wa maneno yenu na kwa madanganyo ya maono yenu, Mimi ni kinyume na ninyi, asema Bwana Mwenyezi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thus saith the Lord GOD; Because ye have spoken vanity, and seen lies, therefore, behold, I am against you, saith the Lord GOD.

In Context

7Je, hamjaona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu hapo msemapo, “ Bwana asema,” lakini Mimi sijasema?

9Mkono wangu utakuwa dhidi ya manabii ambao huona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu. Hawatakuwa katika baraza la watu wangu au kuandikwa katika kumbukumbu ya nyumba ya Israeli wala hawataingia katika nchi ya Israeli. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.

Read all of Ezekieli 13

Cross References

Jeremiah 50:31“Tazama, niko kinyume nawe, ewe mwenye majivuno,” 2 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 “kwa kuwa siku yako imewadia, 2 yaani, wakati wako wa kuadhibiwa. 1

Ezekiel 5:8“Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo, Mimi mwenyewe, niko kinyume nanyi Yerusalemu, nitawapiga kwa adhabu yangu mbele ya mataifa.

Ezekiel 26:3Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi niko kinyume na wewe, ee Tiro, nami nitaleta mataifa mengi dhidi yako, kama bahari inayovurumisha mawimbi yake.

Ezekiel 29:3Nena, nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Mimi ni kinyume nawe, Farao, mfalme wa Misri, 2 joka kubwa ulalaye katikati ya vijito vyako. 1 Unasema, “Mto Naili ni wangu mwenyewe; 2 niliufanya kwa ajili yangu mwenyewe.” 1

Ezekiel 35:3na useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi ni kinyume nawe, ee mlima Seiri, nami nitanyoosha mkono wangu dhidi yako na kukufanya ukiwa na usiyekaliwa na watu wala kulimika.

Ezekiel 39:1“Mwanadamu, tabiri dhidi ya Gogu useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Ee Gogu mimi ni kinyume nawe, mtawala mkuu wa Roshi, Mesheki na Tubali.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekieli 13:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekieli 13:7Ezekieli 13Ezekieli 13:9 →