Ezekieli 13:9
Mkono wangu utakuwa dhidi ya manabii ambao huona maono ya uongo na kusema ubashiri wa udanganyifu. Hawatakuwa katika baraza la watu wangu au kuandikwa katika kumbukumbu ya nyumba ya Israeli wala hawataingia katika nchi ya Israeli. Ndipo mtajua kuwa Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 32:32Lakini sasa nakusihi, wasamehe dhambi yao; lakini kama sivyo, basi nifute kutoka kwenye kitabu ulichoandika.”
Ezra 2:59Wafuatao walikuja kutoka miji ya Tel-Mela, Tel-Harsha, Kerubu, Adoni na Imeri, lakini hawakuweza kuthibitisha kwamba jamaa zao zilikuwa uzao wa Israeli: 1
Nehemiah 7:62wazao wa // Delaya, Tobia na Nekoda 2 642 4
Psalms 69:5Ee Mungu, wewe unajua upumbavu wangu, 2 wala hatia yangu haikufichika kwako. 1
Psalms 87:6Bwana ataandika katika orodha ya mataifa: 2 “Huyu alizaliwa Sayuni.” 1
Psalms 101:7Mdanganyifu hatakaa 2 nyumbani mwangu, 1 yeye asemaye kwa uongo 2 hatasimama mbele yangu. 1