Ezekieli 13:10
“ ‘Kwa sababu ni kweli wanapotosha watu wangu, wakisema, “Amani,” wakati ambapo hakuna amani, pia kwa sababu, wakati ukuta dhaifu unapojengwa, wanaufunika kwa kupaka chokaa,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 21:9Lakini hawa watu hawakusikiliza. Manase akawapotosha, hivyo kwamba walifanya maovu mengi kuliko mataifa ambayo Bwana aliyaangamiza mbele ya Waisraeli.
Proverbs 12:26Mtu mwenye haki ni mwangalifu katika urafiki, 2 bali njia ya waovu huwapotosha. 1
Isaiah 57:21Mungu wangu asema, 2 “Hakuna amani kwa waovu.”
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?
Jeremiah 8:11Wanafunga majeraha ya watu wangu 2 bila uangalifu. 1 Wanasema, “Amani, amani,” 2 wakati hakuna amani. 1
Jeremiah 14:13Lakini nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, manabii wanaendelea kuwaambia, ‘Hamtaona upanga wala kukabiliwa na njaa. Naam, nitawapa amani ya kudumu mahali hapa.’ ”