Ezekieli 14:13
“Mwanadamu, kama nchi itanitenda dhambi kwa kutokuwa waaminifu nami nikinyoosha mkono wangu dhidi yake kukatilia mbali upatikanaji wake wa chakula na kuipelekea njaa na kuua watu wake na wanyama wao,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Neno la Bwana likanijia kusema,
Cross References
Leviticus 26:26Nitakapowaondolea upatikanaji wa mkate wenu, wanawake kumi wataoka mkate wenu katika tanuru moja, nao wataugawa mkate kidogo kwa kupima. Mtakula, lakini hamtashiba.
Isaiah 3:1Tazama sasa, Bwana, 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote, 1 yu karibu kuwaondolea Yerusalemu na Yuda 2 upatikanaji wa mahitaji na misaada, 1 upatikanaji wote wa chakula na tegemeo lote la maji, 2
Jeremiah 7:20“ ‘Kwa hiyo hivi ndivyo asemavyo Bwana Mwenyezi: Hasira yangu na ghadhabu yangu itamwagwa mahali hapa, juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na juu ya matunda ya ardhini, nayo itaungua pasipo kuzimwa.
Jeremiah 32:43Kwa mara nyingine tena mashamba yatanunuliwa katika nchi hii ambayo mlisema, ‘Imekuwa ukiwa, isiyofaa, isiyo na watu wala wanyama, kwa sababu imetiwa mikononi mwa Wakaldayo.’
Lamentations 1:8Yerusalemu ametenda dhambi sana 2 kwa hiyo amekuwa najisi. 1 Wote waliomheshimu wanamdharau, 2 kwa maana wameuona uchi wake. 1 Yeye mwenyewe anapiga kite 2 na kugeukia mbali. 1
Lamentations 4:9Wale waliouawa kwa upanga ni bora 2 kuliko wale wanaokufa njaa; 1 wanateseka kwa njaa, wanatokomea 2 kwa kukosa chakula kutoka shambani. 1