Maombolezo 1:8
Yerusalemu ametenda dhambi sana 2 kwa hiyo amekuwa najisi. 1 Wote waliomheshimu wanamdharau, 2 kwa maana wameuona uchi wake. 1 Yeye mwenyewe anapiga kite 2 na kugeukia mbali. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 2:30“Kwa hiyo, Bwana, Mungu wa Israeli asema: ‘Niliahidi kuwa nyumba yako na nyumba ya baba yako wangehudumu mbele zangu milele.’ Lakini sasa Bwana anasema: ‘Jambo hili na liwe mbali nami! Wale wanaoniheshimu nitawaheshimu, wale wanaonidharau mimi watadharauliwa.
1 Kings 9:6“Lakini kama ninyi au wana wenu mkigeukia mbali nami na kuziacha amri na maagizo yangu niliyowapa na kwenda kuitumikia miungu mingine na kuiabudu,
1 Kings 9:9Watu watajibu, ‘Kwa sababu wamemwacha Bwana Mungu wao, aliyewatoa baba zao Misri, nao wamekumbatia miungu mingine, wakaiabudu na kuitumikia, ndiyo sababu Bwana ameyaleta maafa haya yote juu yao.’ ” 1 Shughuli Nyingine Za Solomoni (2 Nyakati 8)
Isaiah 59:2Lakini maovu yenu yamewatenga 2 ninyi na Mungu wenu, 1 dhambi zenu zimewaficha ninyi uso wake, 2 ili asisikie. 1
Jeremiah 6:28Wote ni waasi sugu, 2 wakienda huku na huko kusengenya. 1 Wao ni shaba na chuma, 2 wote wanatenda upotovu. 1
Jeremiah 13:26Nitayafunua marinda yako mpaka juu ya uso wako 2 ili aibu yako ionekane: 1