Ezekiel 21:11
“ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, 2 ili upate kushikwa mkononi, 1 umenolewa na kusuguliwa, 2 umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 22:4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami, 2 niache nilie kwa uchungu. 1 Usijaribu kunifariji 2 juu ya maangamizi ya watu wangu.” 1
Jeremiah 25:33Wakati huo, hao waliouawa na Bwana watatapakaa kila mahali, kuanzia mwisho mmoja wa dunia hadi mwisho mwingine. Hawataombolezewa wala kukusanywa au kuzikwa, lakini watakuwa kama mavi yaliyoenea juu ya ardhi. 1
Ezekiel 21:19“Mwanadamu, weka alama njia mbili ambazo upanga wa mfalme wa Babeli utapitia, njia hizo zikianzia katika nchi hiyo hiyo. Weka kibao pale ambapo njia zinagawanyika kuelekea mjini.