The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:10

Ezekiel 21:10

umenolewa kwa ajili ya mauaji, 2 umesuguliwa ili ungʼae 2 kama umeme wa radi! “ ‘Je, tuifurahie fimbo ya utawala ya mwanangu Yuda? Upanga unaidharau kila fimbo ya namna hiyo. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

It is sharpened to make a sore slaughter; it is furbished that it may glitter: should we then make mirth? it contemneth the rod of my son, as every tree.

In Context

9“Mwanadamu, tabiri na useme, ‘Hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Upanga, upanga, 2 ulionolewa na kusuguliwa: 1

11“ ‘Upanga umewekwa tayari ili kusuguliwa, 2 ili upate kushikwa mkononi, 1 umenolewa na kusuguliwa, 2 umewekwa tayari kwa mkono wa muuaji. 1

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Esther 3:15Kwa kuharakishwa na amri ya mfalme, matarishi walikwenda na andiko lilitolewa katika mji wa ngome ya Shushani. Mfalme na Hamani waliketi na kunywa, lakini mji wa Shushani ulifadhaika.

Psalms 89:26Naye ataniita kwa sauti, ‘Wewe ni Baba yangu, 2 Mungu wangu, Mwamba na Mwokozi wangu.’ 1

Psalms 110:5Bwana yuko mkono wako wa kuume, 2 atawaponda wafalme siku ya ghadhabu yake. 1

Isaiah 5:12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1

Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1

Jeremiah 46:4Fungieni farasi lijamu, 2 pandeni farasi! 1 Shikeni nafasi zenu 2 mkiwa mmevaa chapeo! 1 Isugueni mikuki yenu, 2 vaeni dirii vifuani! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:9Ezekiel 21Ezekiel 21:11 →