Ezekiel 21:12
Piga kelele na uomboleze, ee mwanadamu, 2 kwa kuwa upanga u dhidi ya watu wangu; 2 u dhidi ya wakuu wote wa Israeli. 1 Wametolewa wauawe kwa upanga 2 pamoja na watu wangu. 1 Kwa hiyo pigapiga kifua chako.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Jeremiah 25:34Lieni na kuomboleza, enyi wachungaji, 2 mgaagae mavumbini, 2 ninyi viongozi wa kundi. 1 Kwa maana wakati wenu wa kuchinjwa umewadia; 2 mtaanguka na kuvunjavunjwa 2 kama vyombo vizuri vya udongo. 1
Jeremiah 31:19Baada ya kupotea, nilitubu; 2 baada ya kuelewa, nilijipiga kifua. 1 Niliaibika na kuona haya 2 kwa sababu niliibeba aibu ya ujana wangu.’ 1
Ezekiel 7:17Kila mkono utalegea na kila goti litakuwa dhaifu kama maji.
Ezekiel 21:6“Kwa hiyo lia kwa uchungu, mwanadamu! Lia kwa uchungu mbele yao kwa moyo uliopondeka na kwa huzuni nyingi.
Ezekiel 30:2“Mwanadamu, toa unabii na useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: 1 “ ‘Ombolezeni ninyi na mseme, 2 “Ole wa siku ile!” 1
Joel 2:1Pigeni tarumbeta katika Sayuni; 2 pigeni mbiu katika mlima wangu mtakatifu. 1 Wote waishio katika nchi na watetemeke, 2 kwa kuwa siku ya Bwana inakuja. Iko karibu, 1