The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:13

Ezekiel 21:13

“ ‘Kwa maana upanga huu umejaribiwa na kuhakikishwa, itakuwaje basi fimbo ya ufalme ya Yuda inayoudharau kama haitakuwepo tena, bali itakuwa imeondolewa kabisa? asema Bwana Mwenyezi.’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Because it is a trial, and what if the sword contemn even the rod? it shall be no more, saith the Lord GOD.

In Context

12Piga kelele na uomboleze, ee mwanadamu, 2 kwa kuwa upanga u dhidi ya watu wangu; 2 u dhidi ya wakuu wote wa Israeli. 1 Wametolewa wauawe kwa upanga 2 pamoja na watu wangu. 1 Kwa hiyo pigapiga kifua chako.

14“Hivyo basi, mwanadamu, tabiri 2 na ukapige makofi. 1 Upanga wako na upige mara mbili, 2 naam, hata mara tatu. 1 Ni upanga wa kuchinja, 2 upanga wa mauaji makuu, 2 ukiwashambulia kutoka kila upande. 1

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Job 9:23Wakati pigo liletapo kifo cha ghafula, 2 yeye hudhihaki kule kukata tamaa kwa yule asiye na kosa. 1

Ezekiel 21:25“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:12Ezekiel 21Ezekiel 21:14 →