Ezekieli 21:15
Ili mioyo ipate kuyeyuka 2 na wanaouawa wawe wengi, 1 nimeweka upanga wa kuchinja 2 kwenye malango yao yote. 1 Lo! Umetengenezwa 2 umetemete kama umeme wa radi, 2 umeshikwa kwa ajili ya kuua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1
Ezekiel 15:7Nitaukaza uso wangu dhidi yao. Ingawa watakuwa wameokoka kwenye moto, bado moto utawateketeza. Nami nitakapoukaza uso wangu dhidi yao, ninyi mtajua kwamba Mimi ndimi Bwana.
Ezekiel 21:7Nao watakapokuuliza, ‘Kwa nini unalia kwa uchungu?’ Utasema hivi, ‘Kwa sababu ya habari zinazokuja. Kila moyo utayeyuka na kila mkono utalegea, kila roho itazimia na kila goti litalegea kama maji.’ Habari hizo zinakuja! Hakika zitatokea, asema Bwana Mwenyezi.”
Ezekiel 21:22Upande wake wa kuume inakuja kura ya Yerusalemu, ambapo ataweka vyombo vya kuvunjia boma, ili kuamrisha mauaji, kupiga ukelele wa vita, kuweka vyombo vya kuvunjia boma kwenye malango, kuweka jeshi kuzunguka na kufanya uzingiraji.