The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:16

Ezekiel 21:16

Ee upanga, kata upande wa kuume, 2 kisha upande wa kushoto, 1 mahali popote makali yako 2 yatakapoelekezwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Go thee one way or other, either on the right hand, or on the left, whithersoever thy face is set.

In Context

15Ili mioyo ipate kuyeyuka 2 na wanaouawa wawe wengi, 1 nimeweka upanga wa kuchinja 2 kwenye malango yao yote. 1 Lo! Umetengenezwa 2 umetemete kama umeme wa radi, 2 umeshikwa kwa ajili ya kuua. 1

17Mimi nami nitapiga makofi, 2 nayo ghadhabu yangu itapungua. 1 Mimi Bwana nimesema.”

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Genesis 13:9Je, nchi yote haiko mbele yako? Tutengane. Kama ukielekea kushoto, nitakwenda kulia; kama ukielekea kulia, mimi nitakwenda kushoto.”

Ezekiel 16:46Dada yako mkubwa alikuwa Samaria, aliyeishi upande wako wa kaskazini na binti zake, pamoja na dada yake, naye dada yako mdogo, aliyeishi kusini yako pamoja na binti zake, alikuwa Sodoma.

Ezekiel 21:20Weka alama njia moja kwa ajili ya upanga upate kuja dhidi ya Raba ya Waamoni na nyingine upate kuja dhidi ya Yuda na Yerusalemu iliyozungushiwa ngome.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:15Ezekiel 21Ezekiel 21:17 →