The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:17

Ezekiel 21:17

Mimi nami nitapiga makofi, 2 nayo ghadhabu yangu itapungua. 1 Mimi Bwana nimesema.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I will also smite mine hands together, and I will cause my fury to rest: I the LORD have said it.

In Context

16Ee upanga, kata upande wa kuume, 2 kisha upande wa kushoto, 1 mahali popote makali yako 2 yatakapoelekezwa. 1

18Neno la Bwana likanijia kusema:

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Numbers 24:10Ndipo hasira ya Balaki ikawaka dhidi ya Balaamu. Akapiga mikono yake pamoja, akamwambia Balaamu, “Nilikuita uje kuwalaani adui zangu, lakini umewabariki mara hizi tatu.

Isaiah 1:24Kwa hiyo Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 Mwenye Nguvu wa Israeli, asema hivi: 1 “Lo, nitapata faraja kutoka kwa adui zangu 2 na kujilipizia kisasi juu ya watesi wangu. 1

Jeremiah 31:19Baada ya kupotea, nilitubu; 2 baada ya kuelewa, nilijipiga kifua. 1 Niliaibika na kuona haya 2 kwa sababu niliibeba aibu ya ujana wangu.’ 1

Ezekiel 16:42Ndipo ghadhabu yangu dhidi yako itakapopungua na wivu wa hasira yangu utaondoka kwako. Nitatulia wala sitakasirika tena.

Ezekiel 22:13“ ‘Hakika nitapiga makofi kwa ajili ya faida isiyo halali uliyojipatia na kwa damu uliyoimwaga ndani yako.

Zechariah 6:8Kisha akaniita, “Tazama, wale wanaokwenda kuelekea nchi ya kaskazini wamepumzisha Roho yangu katika nchi ya kaskazini.” 1 Taji Kwa Ajili Ya Yoshua

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:16Ezekiel 21Ezekiel 21:18 →