The Bible Software
bible.software › Zekaria › Zekaria 6 › Zekaria 6:8

Zekaria 6:8

Kisha akaniita, “Tazama, wale wanaokwenda kuelekea nchi ya kaskazini wamepumzisha Roho yangu katika nchi ya kaskazini.” 1 Taji Kwa Ajili Ya Yoshua

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then cried he upon me, and spake unto me, saying, Behold, these that go toward the north country have quieted my spirit in the north country.

In Context

7Wakati hao farasi wenye nguvu walipokuwa wakitoka, walikuwa wakijitahidi kwenda duniani kote. Akasema, “Nenda duniani kote!” Kwa hiyo wakaenda duniani kote.

9Neno la Bwana likanijia kusema:

Read all of Zekaria 6

Cross References

Judges 8:3Mungu amewatia Orebu na Zeebu, hao viongozi wa Wamidiani, mikononi mwenu. Je, mimi niliweza kufanya nini kulinganisha na mlichofanya ninyi?” Aliposema hili, hasira yao dhidi yake ikatulia.

Ecclesiastes 10:4Kama hasira ya mtawala ikiwaka dhidi yako, 2 usiache mahali pako, 2 utulivu huweza kuzuia makosa mengi. 1

Isaiah 18:3Enyi mataifa yote ya ulimwengu, 2 ninyi mnaoishi duniani 1 wakati bendera itakapoinuliwa milimani, 2 mtaiona, 1 nayo tarumbeta itakapolia, 2 mtaisikia. 1

Isaiah 48:14“Kusanyikeni, ninyi nyote, msikilize: 2 Ni ipi miongoni mwa hizo sanamu 2 ambayo imetabiri vitu hivi? 1 Watu wa Bwana waliochaguliwa na kuungana 2 watatimiza kusudi lake dhidi ya Babeli; 2 mkono wa Mungu utakuwa dhidi ya Wakaldayo. 1

Jeremiah 51:48Ndipo mbingu na dunia na vyote vilivyomo ndani yake 2 vitapiga kelele za shangwe juu ya Babeli, 1 kwa kuwa kutoka kaskazini 2 waharabu watamshambulia,” 4 asema Bwana. 1

Ezekiel 16:42Ndipo ghadhabu yangu dhidi yako itakapopungua na wivu wa hasira yangu utaondoka kwako. Nitatulia wala sitakasirika tena.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Zekaria 6:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Zekaria 6:7Zekaria 6Zekaria 6:9 →