Numbers 24:10
Ndipo hasira ya Balaki ikawaka dhidi ya Balaamu. Akapiga mikono yake pamoja, akamwambia Balaamu, “Nilikuita uje kuwalaani adui zangu, lakini umewabariki mara hizi tatu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 22:11‘Taifa ambalo limekuja kutoka Misri limefunika uso wa nchi. Sasa uje unilaanie hao watu. Kisha huenda nitaweza kupigana nao na kuwafukuza.’ ”
Numbers 23:11Balaki akamwambia Balaamu, “Ni nini ulichonitendea? Nimekuleta ulaani adui zangu, lakini wewe badala yake umewabariki!”
Deuteronomy 23:6Msitafute mapatano ya urafiki nao maisha yenu yote.
Joshua 24:10Lakini sikumkubali Balaamu, kwa hiyo aliwabariki tena na tena, nami niliwaokoa toka mkononi mwake.
Job 27:23Upepo humpigia makofi kwa dharau, 2 na kumfukuza atoke mahali pake.
Ezekiel 21:17Mimi nami nitapiga makofi, 2 nayo ghadhabu yangu itapungua. 1 Mimi Bwana nimesema.”