Ezekiel 21:3
uiambie: ‘Hili ndilo Bwana asemalo: Mimi niko kinyume nawe. Nitautoa upanga wangu kwenye ala yake na kumkatilia mbali mwenye haki na mwovu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 15:9“Adui alijivuna, 2 ‘Nitawafuatia, nitawapata. 1 Nitagawanya nyara; 2 nitajishibisha kwa wao. 1 Nitafuta upanga wangu 2 na mkono wangu utawaangamiza.’ 1
Leviticus 26:33Nitawatawanya ninyi miongoni mwa mataifa, na kuufuta upanga wangu na kuwafuatia. Nchi yenu itaharibiwa, nayo miji yenu itakuwa magofu.
Job 9:22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema, 2 ‘Yeye huwaangamiza wasio na makosa pamoja na waovu.’ 1
Psalms 80:17Mkono wako na utulie juu ya mtu aliyeko mkono wako wa kuume, 2 mwana wa mtu uliyemlea kwa ajili yako mwenyewe. 1
Ecclesiastes 9:2Wote wanayo hatima inayofanana, mwadilifu na mwovu, mwema na mbaya, aliye safi na aliye najisi, wale wanaotoa dhabihu na wale wasiotoa. 1 Kama ilivyo kwa mtu mwema, 2 ndivyo ilivyo kwa mtu mwenye dhambi; 1 kama ilivyo kwa wale wanaoapa, 2 ndivyo ilivyo kwa wale wasioapa.
Isaiah 34:5Upanga wangu umekunywa na kushiba huko mbinguni, 2 tazama, unashuka katika hukumu juu ya Edomu, 1 wale watu ambao nimeshawahukumu, 2 kuwaangamiza kabisa. 1