The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:30

Ezekiel 21:30

Urudishe upanga kwenye ala yake! 2 Katika mahali ulipoumbiwa, 1 katika nchi ya baba zako, 2 huko nitakuhukumu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Shall I cause it to return into his sheath? I will judge thee in the place where thou wast created, in the land of thy nativity.

In Context

29Wakati wakitoa maono ya uongo kwa ajili yako, 2 wanapobashiri uongo kwa ajili yako, 1 wanakuweka wewe kwenye shingo za watu wapotovu, 2 wale walio waovu, 1 wale ambao siku yao imewadia, 2 wakati wa adhabu yao ya mwisho. 1

31Nitamwaga ghadhabu yangu juu yako 2 na kupuliza moto wa hasira yangu dhidi yako; 1 nitakutia mikononi mwa watu wakatili, 2 watu stadi katika kuangamiza. 1

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Genesis 15:14Lakini nitaliadhibu taifa lile watakalolitumikia kama watumwa, na baadaye watatoka huko na mali nyingi.

Ezekiel 12:10“Waambie, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Neno hili linamhusu mkuu aliye katika Yerusalemu na nyumba yote ya Israeli ambao wako huko.’

Ezekiel 16:38Nitakuhukumia adhabu wanayopewa wanawake wafanyao uasherati na hao wamwagao damu, nitaleta juu yenu kisasi cha damu cha ghadhabu yangu na wivu wa hasira yangu.

Ezekiel 28:13Ulikuwa ndani ya Edeni, 2 bustani ya Mungu; 1 kila kito cha thamani kilikupamba: 2 akiki nyekundu, yakuti manjano na zumaridi, 2 krisolitho, shohamu na yaspi, 2 yakuti samawi, almasi na zabarajadi. 1 Kuwekwa kwa hayo mapambo na kushikizwa kwake 2 kulifanywa kwa dhahabu; 2 siku ile ulipoumbwa yaliandaliwa tayari. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:29Ezekiel 21Ezekiel 21:31 →