Ezekiel 21:29
Wakati wakitoa maono ya uongo kwa ajili yako, 2 wanapobashiri uongo kwa ajili yako, 1 wanakuweka wewe kwenye shingo za watu wapotovu, 2 wale walio waovu, 1 wale ambao siku yao imewadia, 2 wakati wa adhabu yao ya mwisho. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 37:13bali Bwana huwacheka waovu, 2 kwa sababu anajua siku yao inakuja. 1
Isaiah 47:13Ushauri wote uliopokea umekuchosha bure! 2 Wanajimu wako na waje mbele, 1 wale watazama nyota watabiriao mwezi baada ya mwezi, 2 wao na wawaokoe na lile linalokuja juu yenu. 1
Jeremiah 27:9Kwa hiyo msiwasikilize manabii wenu, waaguzi wenu, waota ndoto wenu, watabiri na wachawi wanaowaambia ninyi: Hamtamtumikia mfalme wa Babeli.
Ezekiel 12:24Kwa maana hapatakuwepo tena na maono ya uongo wala ubashiri wa udanganyifu miongoni mwa watu wa Israeli.
Ezekiel 13:10“ ‘Kwa sababu ni kweli wanapotosha watu wangu, wakisema, “Amani,” wakati ambapo hakuna amani, pia kwa sababu, wakati ukuta dhaifu unapojengwa, wanaufunika kwa kupaka chokaa,
Ezekiel 21:25“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,