The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:31

Ezekiel 21:31

Nitamwaga ghadhabu yangu juu yako 2 na kupuliza moto wa hasira yangu dhidi yako; 1 nitakutia mikononi mwa watu wakatili, 2 watu stadi katika kuangamiza. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will pour out mine indignation upon thee, I will blow against thee in the fire of my wrath, and deliver thee into the hand of brutish men, and skilful to destroy.

In Context

30Urudishe upanga kwenye ala yake! 2 Katika mahali ulipoumbiwa, 1 katika nchi ya baba zako, 2 huko nitakuhukumu. 1

32Mtakuwa kuni za kuwashia moto, 2 damu yenu itamwagwa katika nchi yenu, 1 wala hamtakumbukwa tena; 2 kwa maana Mimi Bwana nimesema.’ ”

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Psalms 18:15Mabonde ya bahari yalifunuliwa, 2 na misingi ya dunia ikawa wazi 1 kwa kukaripia kwako, Ee Bwana, 2 kwa uvumi wa pumzi kutoka puani mwako. 1

Isaiah 14:4utaichukua dhihaka hii dhidi ya mfalme wa Babeli: 1 Tazama jinsi mtesi alivyofikia mwisho! 2 Tazama jinsi ghadhabu yake kali ilivyokoma! 1

Isaiah 37:7Sikiliza! Nitatia roho fulani ndani yake ili kwamba atakaposikia taarifa fulani, atarudi nchi yake mwenyewe, nami huko nitafanya auawe kwa upanga.’ ”

Jeremiah 4:7Simba ametoka nje ya pango lake, 2 mharabu wa mataifa amejipanga. 1 Ametoka mahali pake 2 ili aangamize nchi yenu. 1 Miji yenu itakuwa magofu 2 pasipo mtu wa kuishi humo. 1

Jeremiah 51:20“Wewe ndiwe rungu langu la vita, 2 silaha yangu ya vita: 1 kwa wewe navunjavunja mataifa, 2 kwa wewe naangamiza falme, 1

Ezekiel 14:19“Au kama nikipeleka tauni katika nchi hiyo na kumwaga ghadhabu yangu juu yake kwa njia ya kumwaga damu, kuua watu wake na wanyama wao,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:31

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:30Ezekiel 21Ezekiel 21:32 →