Ezekiel 21:32
Mtakuwa kuni za kuwashia moto, 2 damu yenu itamwagwa katika nchi yenu, 1 wala hamtakumbukwa tena; 2 kwa maana Mimi Bwana nimesema.’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
Isaiah 34:3Waliouawa watatupwa nje, 2 maiti zao zitatoa uvundo, 2 milima itatota kwa damu zao. 1
Ezekiel 21:30Urudishe upanga kwenye ala yake! 2 Katika mahali ulipoumbiwa, 1 katika nchi ya baba zako, 2 huko nitakuhukumu. 1
Micah 5:1Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi, 2 kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu. 1 Watampiga mtawala wa Israeli 2 shavuni kwa fimbo. 1
Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1
Matthew 3:10Hata sasa shoka limeshawekwa tayari kwenye shina la kila mti, basi kila mti usiozaa matunda mazuri, hukatwa na kutupwa motoni.