Ezra 8:16
Basi niliwaita Eliezeri, Arieli, Shemaya, Elnathani, Yaribu, Elnathani, Nathani, Zekaria na Meshulamu waliokuwa viongozi na Yoyaribu na Elnathani waliokuwa wasomi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Kings 3:11Basi Mungu akamwambia, “Kwa kuwa umeomba neno hili na hukuomba maisha marefu au upate utajiri kwa nafsi yako, wala adui zako wafe, bali umeomba ufahamu katika kutoa haki,
1 Chronicles 26:14Kura ya Lango la Mashariki ilimwangukia Shelemia. + 26:14 Shelemia jina lingine ni Meshelemia. Kisha wakapiga kura kwa Zekaria mwanawe, aliyekuwa mshauri mwenye hekima, nayo kura ya Lango la Kaskazini ikamwangukia.
Ezra 8:13wa wazao wa Adonikamu, hawa walikuwa wa mwisho ambao majina yao ni Elifeleti, Yeueli, Shemaya na wanaume 60 pamoja nao; 1
Ezra 10:21Kutoka wazao wa Harimu: 2 Maaseya, Eliya, Shemaya, Yehieli na Uzia. 1
Proverbs 2:6Kwa maana Bwana hutoa hekima, 2 na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu. 1
Proverbs 28:2Wakati nchi inapokuwa na uasi, inakuwa na viongozi wengi, 2 bali mwenye ufahamu na maarifa hudumisha utaratibu. 1