Job 3:9
Nyota zake za alfajiri na ziwe giza; 2 nao ungojee mwanga bila mafanikio, 1 wala usiuone mwonzi wa kwanza 2 wa mapambazuko, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 30:26Lakini nilipotazamia mema, mabaya yalinijia; 2 nilipotafuta nuru, ndipo giza lilipokuja. 1
Job 41:18Akipiga chafya mwanga humetameta; 2 macho yake ni kama mionzi ya mapambazuko. 1
Jeremiah 13:16Mpeni utukufu Bwana Mungu wenu, 2 kabla hajaleta giza, 1 kabla miguu yenu haijajikwaa 2 juu ya vilima vitakavyotiwa giza. 1 Mlitarajia nuru, 2 lakini ataifanya kuwa giza nene 2 na kuibadili kuwa huzuni kubwa. 1