Nahumu 2:10
Ameharibiwa, ametekwa nyara, ameachwa uchi! 2 Mioyo inayeyuka, magoti yanalegea, 1 miili inatetemeka, 2 na kila uso umebadilika rangi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 1:2Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.
Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1
Isaiah 13:19Babeli, johari ya falme, 2 utukufu wa kiburi cha Wababeli, + 13:19 Wababeli hapa maana yake ni Wakaldayo. 1 itaangushwa na Mungu 2 kama Sodoma na Gomora. 1
Isaiah 21:3Katika hili mwili wangu umeteswa na maumivu, 2 maumivu makali ya ghafula yamenishika, 2 kama yale ya mwanamke mwenye utungu wa kuzaa. 2 Nimeduwazwa na lile ninalolisikia, 2 nimeshangazwa na lile ninaloliona. 1
Isaiah 34:10Haitazimishwa usiku wala mchana, 2 moshi wake utapaa juu milele. 1 Kutoka kizazi hadi kizazi itakuwa ukiwa, 2 hakuna mtu yeyote atakayepita huko tena. 1
Jeremiah 30:6Ulizeni na mkaone: 2 Je, mwanaume aweza kuzaa watoto? 1 Kwa nini basi ninaona kila mwanaume mwenye nguvu 2 ameweka mikono yake tumboni 1 kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa, 2 kila uso ukigeuka rangi kabisa? 1