Genesis 1:3
Mungu akasema, “Iwepo nuru,” nayo nuru ikawepo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And God said, Let there be light: and there was light.
In Context
4Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.
Cross References
Job 38:19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? 2 Nako maskani mwa giza ni wapi? 1
Psalms 33:9Kwa maana Mungu alisema, na ikawa, 2 aliamuru na ikasimama imara. 1
Psalms 104:2Amejifunika katika nuru kama vile kwa vazi, 2 amezitandaza mbingu kama hema 1
Psalms 148:5Vilisifu jina la Bwana 2 kwa maana aliamuru navyo vikaumbwa. 1
Isaiah 60:19Jua halitakuwa tena nuru yako mchana, 2 wala mwangaza wa mwezi hautakuangazia, 1 kwa maana Bwana atakuwa nuru yako ya milele, 2 naye Mungu wako atakuwa utukufu wako. 1
John 1:5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda.