The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 1 › Genesis 1:22

Genesis 1:22

Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni mwongezeke, mkayajaze maji ya bahari, nao ndege waongezeke katika dunia.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And God blessed them, saying, Be fruitful, and multiply, and fill the waters in the seas, and let fowl multiply in the earth.

In Context

21Kwa hiyo Mungu akaumba viumbe wakubwa wa baharini na kila kiumbe hai kiendacho majini kulingana na aina zake, na kila ndege mwenye mabawa kulingana na aina yake. Mungu akaona kuwa hili ni jema.

23Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya tano.

Read all of Genesis 1

Cross References

Genesis 8:17Utoe nje kila aina ya kiumbe hai aliye pamoja nawe: Ndege, wanyama na viumbe vyote vitambaavyo juu ya ardhi, ili wakazae, na kuongezeka na kuijaza tena dunia.”

Genesis 30:27Lakini Labani akamwambia, “Ikiwa nimepata kibali machoni pako, tafadhali ukae. Nimegundua kwa njia ya uaguzi kwamba Bwana amenibariki kwa sababu yako.”

Genesis 35:11Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu Mwenyezi, + 35:11 Mungu Mwenyezi hapa ni jina la Kiebrania, El-Shaddai (yaani Mungu Mwenye utoshelevu wote). ukazae na kuongezeka. Taifa na jamii ya mataifa itatoka kwako, nao wafalme watatoka viunoni mwako.

Job 40:15“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi, + 40:15 Huyu alikuwa mnyama wa nyakati za zamani ambaye hajulikani hasa ni gani. 2 niliyemuumba kama nilivyokuumba wewe, 2 anayekula majani kama ngʼombe. 1

Psalms 107:31Basi na wamshukuru Bwana kwa upendo wake usiokoma, 2 na kwa matendo yake ya ajabu kwa wanadamu. 1

Psalms 128:3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao 2 ndani ya nyumba yako; 1 wana wako watakuwa kama machipukizi ya mizeituni 2 kuizunguka meza yako. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 1:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 1:21Genesis 1Genesis 1:23 →